The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Uwe mchezo,iwe ni kweli tunachotaka mauaji yakomeshwe,na Lisu afunguliwe na mabadiriko yafanyike kwa ajili ya uchaguzi.Watanzania hatutaki mechi,kwamba nani kashinda au nani kashindwa tunachotaka ni haki itendeke kwa wote.Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari. Japo anachosema Josephat Gwajima kina mashiko, wanaoanza kumuandama kwa kuwaandama wanapaswa kukumbuka. Waliachia matapeli wawatumie nao wakidhani wanawatumia kumbe wanatumiana kwa malengo tofauti. Zamani hata sasa, ukikosoa chama tawala, unaambiwa unachanganya dini na siasa. Ukisifia na kuimba mapambio, ni sawa. Hapa dini na siasa havichanganyiki! Hii ni double standard ambayo sasa inaanza kuwaponza machawa. Kama wataamua kufungia makanisa, watende haki wasionekane walipiza visasi kwa Gwajima kuwaumbua hata kama amechelewa au kufanya hivyo kutafuta kura na sympathy.
Katika hili la kuteka na kutaka kukomeshwe, tuwe makini. Gwajima bado anasema yeye ni chawa. Yeya na wale anaowapinga lao moja. Ni waarabu wa Pemba hawa. Chawa ni chawa hata ajifanya kunguni, bado chawa ni chawa.
Kwanini suala la utekaji lionekane mali alipotamka Gwajima wakati akina Lissu ndiyo umekuwa wimbo wao kama wahanga? Hapa, mjue, kuna kitu. Ni kama tunachezwa na kuchezewa machezo.
Benefit of DoubtsTanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari.
Japo anachosema Josephat Gwajima kina mashiko, wanaoanza kumuandama kwa kuwaandama wanapaswa kukumbuka. Waliachia matapeli wawatumie nao wakidhani wanawatumia kumbe wanatumiana kwa malengo tofauti.
Zamani hata sasa, ukikosoa chama tawala, unaambiwa unachanganya dini na siasa. Ukisifia na kuimba mapambio, ni sawa. Hapa dini na siasa havichanganyiki! Hii ni double standard ambayo sasa inaanza kuwaponza machawa.
Kama wataamua kufungia makanisa, watende haki wasionekane walipiza visasi kwa Gwajima kuwaumbua hata kama amechelewa au kufanya hivyo kutafuta kura na sympathy.
Katika hili la kuteka na kutaka kukomeshwe, tuwe makini. Gwajima bado anasema yeye ni chawa. Yeya na wale anaowapinga lao moja. Ni waarabu wa Pemba hawa. Chawa ni chawa hata ajifanya kunguni, bado chawa ni chawa.
Kwanini suala la utekaji lionekane mali alipotamka Gwajima wakati akina Lissu ndiyo umekuwa wimbo wao kama wahanga? Hapa, mjue, kuna kitu. Ni kama tunachezwa na kuchezewa machezo.
Ni kama yakoNgazi yako ya juu ya Elimu ni kiwango gan??
profile yako inaonyesha ni mdini wa kuwa na slogan kuwa wale wa znz waliofanyiwa mapinduzi unafurahi znzNi kama yako
utajuaje ili ni kanisa uchwara na hili sio kipimo ni kipi?Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari.
Japo anachosema Josephat Gwajima kina mashiko, wanaoanza kumuandama kwa kuwaandama wanapaswa kukumbuka. Waliachia matapeli wawatumie nao wakidhani wanawatumia kumbe wanatumiana kwa malengo tofauti.
Zamani hata sasa, ukikosoa chama tawala, unaambiwa unachanganya dini na siasa. Ukisifia na kuimba mapambio, ni sawa. Hapa dini na siasa havichanganyiki! Hii ni double standard ambayo sasa inaanza kuwaponza machawa.
Kama wataamua kufungia makanisa, watende haki wasionekane walipiza visasi kwa Gwajima kuwaumbua hata kama amechelewa au kufanya hivyo kutafuta kura na sympathy.
Katika hili la kuteka na kutaka kukomeshwe, tuwe makini. Gwajima bado anasema yeye ni chawa. Yeya na wale anaowapinga lao moja. Ni waarabu wa Pemba hawa. Chawa ni chawa hata ajifanya kunguni, bado chawa ni chawa.
Kwanini suala la utekaji lionekane mali alipotamka Gwajima wakati akina Lissu ndiyo umekuwa wimbo wao kama wahanga? Hapa, mjue, kuna kitu. Ni kama tunachezwa na kuchezewa machezo.
Wewe ni full-blown narcissist (Fbn). Kkkkkkprofile yako inaonyesha ni mdini wa kuwa na slogan kuwa wale wa znz waliofanyiwa mapinduzi unafurahi znz
Kwanza, mkuu wake anajipachika vyeo vikubwa kama vile daktari, askofu, mtume nabii nk.utajuaje ili ni kanisa uchwara na hili sio kipimo ni kipi?
sawa mkuu.....na misikiti je ??......maana wapo suni na shia wapi n wapi?Kwanza, mkuu wake anajipachika vyeo vikubwa kama vile daktari, askofu, mtume nabii nk.
Pili, anatajirika haraka bila kufanya kazi yoyote bali kuuza neno.
Tatu, anapenda sifa,
Nne, anajiingiza kwenye siasa,
Tano, muongo mkubwa kama vile kuahidi kufufua wafu na kutenda miujiza,
Sita, ni chawa,
Saba, anatumia majina ya ajabu ajabu ya kizungu,
Nane, anapenda kujitangaza sana kwa kutumia runinga au radio,
Tisa, ni mdandizi.
Na kumi, anapenda kurubuni watu na kuwa na mabaunsa kibao badala ya kulindwa na Mungu.
Yep. Wapo ila si wengi. Wengi ni mashehe uchwara wanaoibukia kwenye mihadhara nao wakitafuta tonge. Hawa nao wabanwe. Maana, wanafanya kazi ambayo hakuisomea wala hawana ujuzi nayo zaidi ya njaa. Pia, hata madarasat zapaswa kuwa regulated kuhakikisha hakiwi kichaka cha kueneza ujinga na kufanya ukatili kwa kisingizio cha dini.sawa mkuu.....na misikiti je ??......maana wapo suni na shia wapi n wapi?