erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
Mwembechai na Kwamtoro, ni misikiti miwili ambayo ilisababisha machafuko makubwa ktk nchi. Naweza kusema haijawahi kutokea hapo kabla na baada. Lakini Hatukusikia Serikali Ikifuta dini ya kiislamu.
KKKT Dayosisi ya mlima Meru ilikuwa na vurugu za kujeruhiana na baadi kukosa makazi, pia...
Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima?
====
Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
Nivema kutambua kwamba Katika muktadha wa Tanzania, utaratibu wa kisheria na kikanuni wa kufuta dhehebu au jumuiya ya kidini unategemea masharti yaliyowekwa chini ya sheria na kanuni husika na siyo hisia au msukumo wa kisiasa wa mtu na hasa kwa kuzingatia
1. Sheria ya Jumuiya za Kijamii (The...
Suala la barua kwa kanisa la Gwajima kuhusu kufungiwa alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya mama samia inapima upepo.
Sasa sisi msimamo ni ule ule tunapinga vikali utekaji na mauwaji na hatukubali kanisa lifungiwe kwa kukemea mauwaji hayo, kitendo hiko cha kufungia...
Kosa la Gwajima ni kukanusha hii habari na kusema eti serikali ni nzuri haiwezi fanya jambo kama hilo. Hapa kakosea sana.
Binafsi, naona huu ndio udhaifu wa Gwajima wa kung"ata na kupuliza kuhusu kauli zake kwa serikali na watawala kwa ujumla.
Gwajima alitakiwa kusema hata yeye hizo taarifa...
The Citizen ni gazeti. Ni chombo cha habari kinachoaminika.
Gazeti linasema kuwa kanisa hilo limefungiwa na Emmanuel Kihampa [should be Kidampa, honestly], ambaye ndo msajili sijui wa nini….Registrar of Civil Societies.
So which is which? Kanisa limefungiwa [hata kama taratibu hazijafuatwa] au...
Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari.
Japo anachosema Josephat Gwajima kina mashiko, wanaoanza kumuandama kwa kuwaandama wanapaswa kukumbuka. Waliachia matapeli...
Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:-
KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.