Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa

Barabara yote kuanzia Dar mpaka Dom ukipigwa tochi nyingi sana labda 2 au 3. Sasa boss mkubwa kama wewe ulishindwa kutenga 100k ya faini kweli?[emoji1783]

Kiduku Lilo naona umeanza kuchuja sasa[emoji851]
Unforgetable
Hiyo 1,000,000 ya kuwapa si issue. Issue ni bado ntahitajila kusimama kuwapata. Nachotaka ni safari ambayo haina kusimama simama. So iwepo barabara ya mwendo kasi
 
Sasa kinakuuma nini kufika sawa na magari mengine?? Hapo ujue uwezo wako wa uendeshaji na technic za barabarani ni mdogo sana!
Unvyoonekana unajua kukanyaga tuuu na kulipeleka kasi kitu ambacho kinasababisha ajali kila siku. na ndio maana zinawekwa hizo sheria za 50 kwa ajili ya watu kama ninyi mnaowaza barabarani ni mashindano kumbe barabarani ni technic.... kuna sehemu ambazo automatically hata kama hakuna kibao cha 50 ni lazima upunguze mwendo hata zaidi ya 50! eti unaenjoy kusoma 240 sped!! kiruuuuuuuuu
 
Mkuu kiduku,hivi utaendelea kuturusha robo kwa "mitano tena" au tuzingatie upandaji wa bei ya mafuta ya kupika?The big potato himself!
 
Nyie huyuuuuuuu ,,,njaa inauma watu hatujakunywa chai
 
Nikatoa tiketi alafu nikairudisha kabatini.
Ngoja nkanywe chai kwanza[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mafuta ya kupikia yamepanda bei? Lini tena?
Hata mimi nimejua hilo nilipofika hapa kibandani kwa mamalishe.Ameng'ang'ania nimlipe shilingi mia saba kwa bakuli la kande badala ya mia tano.Anadai mafuta ya kula ndiyo sababu ya kupanda bei ya bakuli la kande.Nimemwambia kama ni mafuta mbona mimi ninayo mwilini!Kesho asiniwekee.
 
Kiduku Lilo, kukosa kuajiriwa na kutembea na vyeti miaka mitatu tu ndiyo umekuwa mwehu hivi? Benz lipi tena jamani!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba tiketi ina kaa kabatini pamoja kuilipia eti kairhdishia humo kaenda na gari ina maana nauli ya tiketi imepotea
 
Nimeangalia mwandiko tu, nikajua wewe ni jirani yangu kabisa huku Kitwechenkula, Kyerwa.
 
Nilivyo soma tu nimehisi GINIMBI ila unaogopa faini ya elf 30 utembee speed 240.

Ila pongezi tajiri serikali itawajengea barabara ya wenye magari mjini, RR, BMW, LEAMOSIN, RANGE, N.K ili mtembee 200km/h
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…