Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa



Mafuta ya kupikia yamepanda bei? Lini tena?
Mkuu, comments zingine unasoma tafadhali sana, pitia yangu ni ya kwanza, naomba upitie.
 
Barabara yote kuanzia Dar mpaka Dom ukipigwa tochi nyingi sana labda 2 au 3. Sasa boss mkubwa kama wewe ulishindwa kutenga 100k ya faini kweli?[emoji1783]

Kiduku Lilo naona umeanza kuchuja sasa[emoji851]
Unforgetable

kweli, nimepita sana na gari hiyo road tena sehemu zingine walinisamehe tu jamaa ananiuliza wewe mtumish ? namjibu ndio napita kama upepo, barabara yenye toch nyingi za kukera ni highway ya dar to mbeya huko kudadeki utatema ndoano mwenyewe
 
Kwamba tiketi ina kaa kabatini pamoja kuilipia eti kairhdishia humo kaenda na gari ina maana nauli ya tiketi imepotea
Mkuu kwa kweli huwa sipendi kusumbuana na watu eti niwaambie nimeahirisha sijui warudishe nauli no. Dont do that.kama seat yangu watampa mtu mwingine. Wampe tu wala si big deal. Kuna mashirika mengine ya ndege mimi husafiri kwa coupon.yaani anytime nikipata safari naelekea Airport nawaambia nataka kwenda Mbeya ,Arusha au Uk n.k wanitafutie usafiri.kama seats zao zimejaa wanaangalia kwa wenzao so ndo ipo mi ni mteja wao sana.
 
Ahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna mwamba kakomenti mwanzoni lakin unampotezea boss wangu hebu msikilize boss kama wewe huwezi kimbia mtaji mdogo kama ule
 
Kwa barabara itakayotumiwa na matajiri wachache kiasi hicho, rate ya Sh. 1000/km haiwezi kurudisha gharama za ujenzi kabla barabara haijaonekana mbovu kwa viwango vya matajiri. Hivyo basi, tupendekeze kwa serikali iwe wana-charge angalau Sh. 100,000/km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…