usimamizi mbaya
Member
- Nov 3, 2024
- 55
- 92
Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum.
Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu anasoma shule ya msingi kila siku mama yake analazimika kununuwa pampasi Mana pasipo hivyo si mkojo wala haja kubwa vyote hawezi kujisitiri.
Mama mwenyewe maisha ni duni mara akalinde mara vibarua yani ni shida. Anaishi nyumba ya shule mtu huyu alipewa hifadhi na mwalimu mkuu.
Na mwanaye anasoma hapo.Ni manispaa ya Songea shule ya msingi Luhira anapatikana kijana huyo na mzazi wake.Najuwa wapowahitaji wengi hii iwe sehemu ya kuanzia.