G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,091 Reaction score 2,816 Sep 21, 2022 #281 Miradi ya magufuli ambayo naona ilikua na tija ni JNHP, SGr na daraja la wami. Hii mingine ni sawa tu na mtu anayenunua gari nzuri ilinaonekane baranrani wakati anaishi chumba kimoja
Miradi ya magufuli ambayo naona ilikua na tija ni JNHP, SGr na daraja la wami. Hii mingine ni sawa tu na mtu anayenunua gari nzuri ilinaonekane baranrani wakati anaishi chumba kimoja
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Sep 21, 2022 #282 Sexless said: 1. Daraja la Busisi tuachane nalo kabisa. Kwasbb halitarajiwi kuleta tija yoyote ya kiuchumi hata likikamilika maana linaenda kijjjini (interior) Busisi. Mabilioni ya fedha yatapotea bure kabisa! Click to expand... Huko interior hawaishi watu? Hawalipi kodi? Hwana haki ya kupata huduma muhimu?
Sexless said: 1. Daraja la Busisi tuachane nalo kabisa. Kwasbb halitarajiwi kuleta tija yoyote ya kiuchumi hata likikamilika maana linaenda kijjjini (interior) Busisi. Mabilioni ya fedha yatapotea bure kabisa! Click to expand... Huko interior hawaishi watu? Hawalipi kodi? Hwana haki ya kupata huduma muhimu?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 13, 2023 #283 Ulikuwa na pointi