Acha tufe njaa, hii miradi iendelee hakuna namna, tulishaianza lazima iishe hatuwezi kulaza hela...haijalishi aliyeanza alipatia au alikosea..
Hawa akina Nape ni vibaraka kupenyeza agenda za watu wapate kuishi, kwa serikali kusupply hela huko means wao hawana kitu na miradi mipya itabidi isubiri..
Mama malizia viporo, achana na hizi kelele za wafukuza upepo....mengine tutafanya tu mbele huko, wewe tukamue mpaka damu zitoke viporo viishe tuanze mengine. Mipango ha Mungu huwa ni mingi, tumalize tulichoanza hatutaki biashara ya kulima hapa na pale kila siku...
"Ujinga ndio uhai wa CCM, ukipambana na CCM utakuwa umepambana na ujinga."