Nashauri Serikali itoe mikopo kwa wanafunzi wa masters bila kuweka kigezo cha kuajiriwa serikalini bali kigezo kiwe gpa 3.5 undergraduate

Nashauri Serikali itoe mikopo kwa wanafunzi wa masters bila kuweka kigezo cha kuajiriwa serikalini bali kigezo kiwe gpa 3.5 undergraduate

Hoja ya walioajiriwa Serikalini kupewa mkopo ni urahisi wa urejeshaji wa mkopo husika. Tena kwa hatua za masters, Serikali inapaswa kutoa mkopo kwa baadhi ya course chache hasa zilizo na uwe wa kukuza uchumi kwa haraka pamoja zile za sayansi. Kama vijana wana akili hizo unazozieleza, mbona wasikope benki ili watumie hizo akili kulipa mkopo huo?
BAnk gan wanakopesha krahisi vjana mkuu?
 
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja mbalimbali.

Vijana wenye maarifa na damu changa hukosa nafasi, na hivyo, sekta za serikali na hata binafsi hubaki mikononi mwa wazee waliochoka, wagonjwa, na wasioendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na sayansi.

Hali hii imesababisha udumavu wa fikra na ukosefu wa maono ya muda mrefu katika taasisi nyingi. Wengi wa wabobezi wanaojaza nafasi muhimu ni watu waliokata tamaa, wasioweza kuhimili changamoto za ulimwengu wa kisasa, na ambao mawazo yao ya kizamani yanazidi kuathiri ufanisi wa mashirika na sekta binafsi.

Ni wazi kwamba nchi zinazowekeza kwa dhati kwenye elimu, kama Korea Kusini, zimepiga hatua kubwa kwa muda mfupi.

Tunapaswa kuiga mfano huo kwa kuhakikisha tunakuza kizazi chenye elimu bora, maarifa ya kisasa, na uwezo wa kutumia teknolojia kwa manufaa ya taifa.

Hii itasaidia kujenga msingi thabiti wa maendeleo endelevu na kufanikisha malengo ya kitaifa.
Unataka kusoma masters na huna ela? Aina ya watu wanaojiita wasomi kama wewe ni changamoto. Kwanza elimu yako uliyokuwa nayo imeleta manufaa gani kwa jamii yako kabla ya kutaka kosemeshwa na serikali?
 
Back
Top Bottom