Kimbilio la wengi sio wakati huu ndugu yangu sasa Tanzania ni chinja chinja namba moja ukanda wetuTanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake.
Napendekeza viongozi wa kamati ya amani nchini , mwenyekiti shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salumu na askofu Gamanywa wa Huduma ya Hakuna Lisilowezekana kukaa na viongozi wa Chadema na kuwaombea.
Kitendo cha baadhi ya waliokuwa wabunge wa Chadema kuomba ukimbizi kinapaswa kuingiliwa kati na viongozi wa dini katika kuhakikisha taswira ya Tanzania haitafsiriwi vibaya nje ya mipaka ya nchi yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hojaTanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake.
Napendekeza viongozi wa kamati ya amani nchini , mwenyekiti shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salumu na askofu Gamanywa wa Huduma ya Hakuna Lisilowezekana kukaa na viongozi wa Chadema na kuwaombea.
Kitendo cha baadhi ya waliokuwa wabunge wa Chadema kuomba ukimbizi kinapaswa kuingiliwa kati na viongozi wa dini katika kuhakikisha taswira ya Tanzania haitafsiriwi vibaya nje ya mipaka ya nchi yetu.
Maendeleo hayana vyama!
We mbona haujachinjwa?Kimbilio la wengi sio wakati huu ndugu yangu sasa Tanzania ni chinja chinja namba moja ukanda wetu
We unawajibia kama nani?
Hao ni viongozi wa dini au madalali wa dini?Tanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake.