Kuna ubaya gani kuwa na timu kama jeshi. Inasubiri vita kambini huku wakifanya misheni za hapa na pale kujiweka fiti.Wewe unaonekana katika maswala ya mpira ni kama. ....mbingu na ardhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wewe hamnazoHawa wachezaji wanaocheza ligi mbalimbali wanatuangusha miaka nenda rudi. Na tatizo kubwa utasikia nichemistry. Kwamba hawajazoeana. Nashauri tuwe na timu ya taifa kama waajiliwa rasmi. Kazi yao iwe ni kutoka asubuhi nyumbani kwenda kujifunza mpira na kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki. Siku ya mechi wanatumika hao waliozoeana kila siku. Kipindi cha usajili timu ya taifa nayo iwe inagombaniana na vilabu kwenye usajili. Tunaweza kuwa na timu bora kwa mtindo huu.
Mfumo wa kuchukua wachezaji wanaocheA ligi unafanya kazu kwa wenzetu ila unaonekana kwetu umefeli.
Inawezekana tena tunaweza kuwa na timu nzuri sana. Kuliko huyu yuko simba wanacheza style hii na mwingine yuko mtibwa anacheza style nyingine kisha wanakusanywa ndani ya wiki na kufundishwa kucheza pamoja. Wakiwa wanacheza pamoja mwaka mzima, siku zote tutapata timu bora sana.Hiyo sijui kama itawezekana
Aisee aya mkuuInawezekana tena tunaweza kuwa na timu nzuri sana. Kuliko huyu yuko simba wanacheza style hii na mwingine yuko mtibwa anacheza style nyingine kisha wanakusanywa ndani ya wiki na kufundishwa kucheza pamoja. Wakiwa wanacheza pamoja mwaka mzima, siku zote tutapata timu bora sana.
baada ya malinzi kukatisha mkataba na kim poulsen..tukarudi nyuma kisoka hadi 2006,stars ya mayanja ni sawa na stars ya msolwa iliyocheza na rwanda 2006 pale shamba la bibi maximo akiwa jukwaani..hovyoHiyo haijawahi kuwa namna ya uendeshaji wa mpira, japo inaweza kuwa ubunifu katika mpira
Oddly enough, people on the Internet are more real than people in real life. The ability to act anonymously makes us much more genuine.
That's the practice dunia nzimaKwahiyo lazima wachezaji wa timu ya taifa wawe wanacheza kwenye ligi fulani?