Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Hawa wachezaji wanaocheza ligi mbalimbali wanatuangusha miaka nenda rudi. Na tatizo kubwa utasikia nichemistry. Kwamba hawajazoeana. Nashauri tuwe na timu ya taifa kama waajiliwa rasmi. Kazi yao iwe ni kutoka asubuhi nyumbani kwenda kujifunza mpira na kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki. Siku ya mechi wanatumika hao waliozoeana kila siku. Kipindi cha usajili timu ya taifa nayo iwe inagombaniana na vilabu kwenye usajili. Tunaweza kuwa na timu bora kwa mtindo huu.
Mfumo wa kuchukua wachezaji wanaocheA ligi unafanya kazu kwa wenzetu ila unaonekana kwetu umefeli.
Mfumo wa kuchukua wachezaji wanaocheA ligi unafanya kazu kwa wenzetu ila unaonekana kwetu umefeli.