Nashauri tuibakishe Team AVIC TOWN kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2022/23

Nashauri tuibakishe Team AVIC TOWN kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2022/23

Ni ulimbukeni tu wakipumbavu wakati muda unakuwa hauruhusu
Kwan ukisema pesa hakuna, unapungukiwa nn??
Si ndo nyie mlikua mnajifaragua wazi wazi, sijui Marekani mara Uturuki. Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwan ukisema pesa hakuna, unapungukiwa nn??
Si ndo nyie mlikua mnajifaragua wazi wazi, sijui Marekani mara Uturuki. Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaah! Pesa imeisha mama
 
acheni longolongo nyie team haina hela bana na Uturuki mnadaiwa millions 200 za kutotii mkataba wa kambi..halafu mnatubania pua eti Senzo ni genius, karatu imekuwa ngumu tena?
Watu wanaenda kuzurura huko afu wanakuja kufungwa na Prisons.
 
Hili wazo ni zuri ila uongozi unapaswa kutafuta mechi zisizopungua tatu za kimataifa za kirafiki kwaajili ya kujipima nguvu.

Mechi 3 sio za msingi sana.

Kama mbele yetu kuna Kilele cha Wananchi na Agosti 13. Hizi mechi mbili zinaweza kabisa kutosha kujipima nguvu.

Halafu mechi ya kirafiki sio lazima ucheze na timu ngumu.

Simba walicheza mechi nne huko Morrocco lakini iliwasaidia nini kwenye ligi?
 
Mi nashauri Kambi ifanyikie Mbeya au Arusha na hapa Dar wachezaji wapate utulivu na sio kwenda nje ya nchi

Nadhani AVIC TOWN panatosha.

Mbeya hakuna miundo mbinu bora afadhali kidogo Arusha.

Hata hivyo, hali ya hewa ya hiyo mikoa haiendani na mkoa ambapo asilimia 70 ya mechi zitachezwa.
 
Bora hizo hela wangezigawa tu kwa wachezaji kama bonasi, badala ya kwenda kuwanufaisha wazungu.

Na hata ikitokea wakakaza shingo na kwenda, basi ni vizuri wakaenda sehemu yenye hali ya hewa inayofanana na ya Dar!

Mambo ya kwenda maeneo yenye baridi kali kiasi cha kuwafanya wachezaji kushindwa kufanya mazoezi kwa kiwango kinachotakiwa, ni uwendawazimu usio vumilika.

Uko sahihi kabisa.
 
Hata sisi simba tumemsajili Okra aliyemaliza mkataba, na sasa tupo zetu preseason ismailia Misri.

Wachezaji wengi sikuhizi wanapenda wasajiliwe wakiwa wamemaliza mkataba ili wapate fedha nyingi.

Okrah hakuwa amemaliza mkataba mkuu.

Alibakisha mwaka mmoja (with an option to extend)

Yuko Simba kwa Mkopo (Loan) hatima yake itafahamuka baada ya mwaka mmoja kutoka Agosti 1 ya mwaka huu 2022.
 
Ilikuwapo mipango na bado ipo mipango ya kuhakikisha team ipelekwe nje ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi.

Binafsi nimewaandikia viongozi wangu wa klabu wahakikishe wanaibakisha team hapa hapa Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Kwa sasa Tanzania tumeona kama fashion kwenye kufanya maandalizi nje ya nchi bila kujali tija ya kufanya maandalizi huko nje.

Wenzetu kabla ya kufanya maandalizi wanajua kuwa watacheza mechi ngapi za kujipima nguvu huko walipo. Na pia hizo mechi zitategemea pia muda alio tumia mwalimu kuingiza mbinu zake mpya katika timu.

Nimependekeza kuwa kutokana na ufinyu wa muda sioni sababu ya kusafiri tarehe 16.07.2022 kwenda nje na baada ya wiki 3 kabla ya tarehe 06.08.2022 kuna mechi ya kilele cja Mwananchi.

Je, wiki 3 zinaenda kusaidia nini kama sio kupoteza rasilimali pesa?

Je, suala la kuchosha wachezaji kwenye safari halito disturb rithnm ya timu?

Je kwanini tusitumie hali ya hewa iliyopo hapa Dar es Salaam ili kuhakikisha miili ya wachezaji wageni ina adjust vyema na mazingira ya hali ya joto lililopo?

Muda ni mchache kwakweli na mambo bado ni mengi.

Ni matarajio yetu mashabiki kuona klabu inasitisha zoezi zima la safari ya nje kwa ajili ya pre season.

Hakunaga pre-season ya wiki 3.
Pesa yote kabeba Azizi ki , acha kelele
 
Back
Top Bottom