Nashauri, tuininafsishe Zimamoto na maafa ifanywe na sector binafsi.

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kuliko kulipa watu mishahara kila mwezi kisha majanga yakiyokea hawaoneoani,

Tulivunje jeshi la zimamoto, waruhusiwe watu/kampuni binafsi kua na vifaa na ofisi zao.

Likitokea janga, wanashiriki imasavyo kisha wanalipwa, hii ingepunguza ngarama nanadhan private watakua effective.
 
Una hoja ya msingi maana majanga yote yanayojitokeza, raia ndio hupambana kuokoa wahanga,
Wakifuatiwa na makampuni binafsi ya uokozi... ndipo kwa kuchelewa sana jeshi la zimamoto hutokea na vifaa duni.

Elimu ya kukabiliana na majanga raia hatupewi mara kwa mara japokuwa sie ndio huokoa wenzetu.
 
Kuliko kulipa watu mishahara kila mwezi kisha majanga yakiyokea hawaoneoani,

Tulivunje jeshi la zimamoto, waruhusiwe watu/kampuni binafsi kua na vifaa na ofisi zao.

Likitokea janga, wanashiriki imasavyo kisha wanalipwa, hii ingepunguza ngarama nanadhan private watakua effective.
Yafaa tubinafsishe na Ikulu pia ili kujihakikishia usalama na maendeleo yaliyo endelevu.
Kansa ambayo nchi hii inaugua imeanzia kichwani na kisha imesambaa kwenye mwili wote kabisa.
 
Naunga mkono hoja, wapewe DP World ya Quatar au Yemen!
 
Back
Top Bottom