Nashauri Tume ya Uchaguzi isiyo huru itangaze CCM washindi kuepuka kupoteza fedha na muda

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.

Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi.

Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.

Je wewe Mtanzania unasemaje?
 
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura. Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi. Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.​

Je wewe mtanzania unasemaje?​

Una roho mbaya, acha watu wachaguane
 
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.

Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi.

Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.

Je wewe Mtanzania unasemaje?
sahihi
 
Bahati mbaya sana ushauri wako hakuna atakayeufanyia kazi zaidi ya kubaki kwenye server za JF
 
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.

Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi.

Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.

Je wewe Mtanzania unasemaje?
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Sisi tumerogwa sana.

Hizo bilioni 100 si wakanunue madawati na vitabu watoto wasome shule.

Wanajua kabisa kwa vyovyote vile wao ndio washindi halafu wanatumia bilioni 100 kupiga kampeni!

Tume watangaze tu CCM wameshinda maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom