The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Una roho mbaya, acha watu wachaguaneKwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura. Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi. Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.
Je wewe mtanzania unasemaje?
sahihiKwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.
Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi.
Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.
Je wewe Mtanzania unasemaje?
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.
Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi.
Kinachoandaliwa si uchaguzi bali uchakachuaji uliojaa uchafuzi na ujambazi wa kisiasa. Siyo democracy bali demoncracy.
Je wewe Mtanzania unasemaje?
Sisi tumerogwa sana.Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.