Nashauri tumheshimu mzee Warioba na siyo kuruhusu vikaragosi vimdhalilishe

Nashauri tumheshimu mzee Warioba na siyo kuruhusu vikaragosi vimdhalilishe

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1768684661415.png


Kuna chawa anaitwa kikaragosi aka kihongosii. Juzi, alijitokeza na kujaribu eti kumkosoa mzee Warioba. Kumkosoa mtu yeyote si kosa. Ila kosa ni kushindwa kujibu hoja na kuzua matusi na uzushi. Huyu kikaragosi ashindwa na kulegea. Onywe.

Warioba siyo saizi ya kikaragosi. Siyo chawa wala zezeta au mtu mzima hovyo.
Shame on vikaragosi wote na wote wanaowatuma kutukana watu wazima.
 
Kwa kweli Kibongosi ni takataka!
Hivi chawa Kihongosi anajiona kuwa na akili ya hata kumkaribia mzee mkweli na mwenye gekaima kubwa, mwenye uaminifu wa nafsi kama Mzee Warioba?
 
Back
Top Bottom