Nashauri tuungane kukataa kusapoti kazi, biashara za Wasanii Machawa wa Kisiasa

Nashauri tuungane kukataa kusapoti kazi, biashara za Wasanii Machawa wa Kisiasa

Siyo lazima kila mtu aanze kwa kuelewa au kujali, lakini harakati nyingi zimefanikiwa kwa sababu ya uvumilivu na msimamo wa waliotangulia
Mkuu umeielewa lakini statement yangu??

Maana yangu ni kwamba, kundi kubwa la watu wanaowapa umaarufu (viewers, subscribers n.k) ni hawa vijana ambao ukiwauliza chochote kuhusu siasa hatoweza kukujibu kabisa. 🤒
 
Back
Top Bottom