Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Naomba nisisitize kwamba utaratibu uliopo wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru hii sio demokrasia na ili ipatikane tume huru na ya kisasa zaid itakayo fanya haki nilishauri kwenye jukwaa la stories of change kwamba tume huru ikaundwe na wataalamu wa vyama vyote vya siasa nchini hapa ndipo tutaenda kupata tume bora zaidi kuliko ya kupatikana kutoka kwa mgombea wa chama tawala kwani hii sio demokrasia wala haki na hiyo tume haitakuwa ya kisasa wala yenye ubora wowote.
Nilishauri iundwe kamati itakayojumuisha wataalamu wa vyama vyote vya siasa nchini hawa ndio watakaa na kuangalia namna ya kutuletea tume bora na ya haki ambayo itakuwa ni zaidi ya ile anayo iunda mgombea wa chama tawala. lakini pia wataalamu hawa watakao unda tume kutoka katika vyama vyao watachaguliwa au kuteuliwa na uongozi au wanachama wa vyama wanavyo viwakilisha sio na mgombea wa chama tawala au na mtu mwengine yoyote hii ndio demokrasia tunayoitaka kuelekea tanzania bora tuitakayo.