Nashauri tuwekeze Katika Riadha tupate kina Simbu Wengi

Nashauri tuwekeze Katika Riadha tupate kina Simbu Wengi

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Wadau wa Michezo habari,

Mimi ni Mwanasoka ila Sasa hivi Nimeamua Kuwa nakimbia kama Veteran,

Ni Vema Tukaqekeza Katika Riadha tutafanikiwa sana.

Tutapata Kina Alphonce Simbu Wengi mnooo!

Riadha Haidanganyi unakuwa Professional ukifika Viwango tu uneyekimbia

Tuseme
5km kwa Dakika 12 au 13 Wewe Tayari Unachukua Medali, Ukifanyia Mazoezi hizo Dakika.

2.Umekimbia Km 10 kwa Dakika 27 tayari una Medali tena Ya Dhahabu.

3.Umekimbia 21km Chini ya Lisaa limoja tayari pia.

Unajipima Mwenyewe au Kambini Haukabwi na Mtu.

4.Umekimbia 42km chini ya Masaa 2 Tayari Una Faida hapo Wewe ni Bingwa haukabwi na Mtu au Haumpasii mtu ni Uwekezaji Mzuri Sio wa Kubahatisha.

Yaani Performance yako records zako zinakupa Ushindi.Olympic au Abbot marathons.

Mpira sisi Bado sana.

Tuna Maneno meengi kuliko Vitendo kama Waingereza[emoji3516][emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji2][emoji30]
 
Back
Top Bottom