MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Mimi binafsi huwa silipendangi hilo ligentamaisini au olu raundaNlikua na Mengi ya kuandika kukuelimisha bt nikafuta wote baada ya kugundua huyu jamaa ana stress ana taka tu attention kwa kufungua uzi wake usiokua na kichwa wala miguu ili mradi uzi teyari.
Kwa ufupi sana Hamia Israel. Ni rahisi tu km hivyo maana haka ka uzi hakataka badili ht nukta moja ya utaratibu uliopo, so stop wasting you time and our time kujadili vitu vilivyo nje ya uwezo wetu na zaidi visivyokua na kichwa wala miguu.
Sina la kuongeza.Yoshua Mwana wa Sira 38
SRUVDC
YOSHUA MWANA WA SIRA 38:17-23
Kuombolezea Aliyekufa
16 Mwanangu, machozi yako yadondoke juu yake aliyefariki, na katika uchungu wa roho yako ufanye maombolezo; umfunge sanda mwili wake kama ilivyo haki yake, wala usijifiche wakati wa kumzika. 17Fanya kilio kwa huzuni, na maombolezo makuu; na matanga yake yawe sawasawa na stahili zake, siku moja au mbili, usije ukaona fedheha; hivyo uburudike moyo wako katika huzuni yako. 18Kwa maana huzuni izidiyo huleta mauti, na uchungu wa rohoni hula nguvu. 19Atakapochukuliwa maiti ni afadhali huzuni ipite, mradi maisha ya kusikitika yaweza kuudhuru moyo. 20Usiweke huzuni moyoni mwako, uiweke mbali nawe ukiukumbuka mwisho wako; 21usisahau ya kwamba hakuna kurudi tena; hutamfaidia yeye, nawe utajidhuru mwenyewe. 22Uikumbuke amri iliyo juu yake, nayo ni juu yako pia; jana kwake na kesho kwako. 23Basi atakapostarehe yeye aliyefariki, na ukae ukumbusho wake; roho yake ikiisha kuondoka, ujiburudishe moyo wako kwa ajili yake.
AMEN!
Mbona kama wewe ndo una stressNlikua na Mengi ya kuandika kukuelimisha bt nikafuta wote baada ya kugundua huyu jamaa ana stress ana taka tu attention kwa kufungua uzi wake usiokua na kichwa wala miguu ili mradi uzi teyari.
Kwa ufupi sana Hamia Israel...ni rahisi tu km hivyo maana haka ka uzi hakataka badili ht nukta moja ya utaratibu uliopo, so stop wasting you time and our time kujadili vitu vilivyo nje ya uwezo wetu na zaidi visivyokua na kichwa wala miguu.
Mbona uandishi wako unamuiga GENTAMYCINE?
Kuwa innovative acha kukopi style za watu
Mbona kama wewe ndo una stress
Angalia post zake zote ni ...... tu,,na kila muda anafungua nyuziNlikua na Mengi ya kuandika kukuelimisha bt nikafuta wote baada ya kugundua huyu jamaa ana stress ana taka tu attention kwa kufungua uzi wake usiokua na kichwa wala miguu ili mradi uzi teyari.
Kwa ufupi sana Hamia Israel...ni rahisi tu km hivyo maana haka ka uzi hakataka badili ht nukta moja ya utaratibu uliopo, so stop wasting you time and our time kujadili vitu vilivyo nje ya uwezo wetu na zaidi visivyokua na kichwa wala miguu.
Angalia post zake zote ni ...... tu,,na kila muda anafungua nyuzi
Kiukweli hata sisi watu wa sherehe tunapata tabu sana kipindi hiki hebu serikali ya Rais Samia iangalie haya mambo kwa umakini kidogo
kipi hakifanyiki kwani kama maombolezo yanaendeleaMimi binafsi huwa silipendangi hilo ligentamaisini au olu raunda
Ila kwa alichoandika hapo juu kina mantiki na tija kwa watz wote.
Najua wewe ni taga unapenda ikitokea fursa za misiba kama hii uwe unapata padiem.
Acha kupangia watu vitu vya ku post humu, amekuita kwenye thread yake au ni kimbelembele chako?Nlikua na Mengi ya kuandika kukuelimisha bt nikafuta wote baada ya kugundua huyu jamaa ana stress ana taka tu attention kwa kufungua uzi wake usiokua na kichwa wala miguu ili mradi uzi teyari.
Kwa ufupi sana Hamia Israel. Ni rahisi tu km hivyo maana haka ka uzi hakataka badili ht nukta moja ya utaratibu uliopo, so stop wasting you time and our time kujadili vitu vilivyo nje ya uwezo wetu na zaidi visivyokua na kichwa wala miguu.
Ongezea na kuiba/misuse rambirambi... Kuna tetesi kwamba mpaka wamechoka mpunga wetu kutoka chungu kikuu kwa kisingizio hiki hiki....Mimi binafsi huwa silipendangi hilo ligentamaisini au olu raunda
Ila kwa alichoandika hapo juu kina mantiki na tija kwa watz wote.
Najua wewe ni taga unapenda ikitokea fursa za misiba kama hii uwe unapata padiem.
@Gentamycin naona umebadili ID
Acha kupangia watu vitu vya ku post humu, amekuita kwenye thread yake au ni kimbelembele chako?
Amen!Sina la kuongeza.