FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki