rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Umeshawahi kunywa bia za Burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZitapoaWhy usiagize zote tano ukakaa nazo Kwa meza?
Ha ha haIla wengi mabia makubwa hawapendi ukizama baa asilimia kubwa vichupa vidogo vile michupa ya nusu lita inahitaji moyo ka we sio pampula...
Mpaka umalize safari kubwa au serengeti kubwa tatu wazee wa kijani washakamua bia 8
Yah huwa najiepusha sana kujaza bia mezani.Hii ya tatu tatu inafanya kuwaonesha wanywaji wanatapanya Mali, pia inawasumbua wahudumu kutikisa chupa tupu ili waziondoe
HahahaYah huwa najiepusha sana kujaza bia mezani.
Moja: ukifika na wenge la kujaza bia mezani mmekunywa badae mfuko unaelekea ukingoni unaanza agiza moja moja, hapo wahudumu wasoma ramani wanajua pale pakavu hawapiti piti tena unaanza kuwa mnyonge.
Mbili: uzuri wa kuagiza bia moja moja kwanza unaonekana una class flan hv, sio mtu wa pupa kwenye bata, ja muhudumu akusomi maana ni moja imesimama mezani muda wote ikitoka hii weka ingine, ndio style bora sana bar, kujaza mabia mezani ni ushamba flan hv mtazamo wangu lakn.
Hahahahha
Nakubaliana na wewe kujaza bia nyingi mezani ni ushamba sana...Hii hufanywa na wanaume wengi wasiojiamin na wanaotaka showoffYah huwa najiepusha sana kujaza bia mezani.
Moja: ukifika na wenge la kujaza bia mezani mmekunywa badae mfuko unaelekea ukingoni unaanza agiza moja moja, hapo wahudumu wasoma ramani wanajua pale pakavu hawapiti piti tena unaanza kuwa mnyonge.
Mbili: uzuri wa kuagiza bia moja moja kwanza unaonekana una class flan hv, sio mtu wa pupa kwenye bata, ja muhudumu akusomi maana ni moja imesimama mezani muda wote ikitoka hii weka ingine, ndio style bora sana bar, kujaza mabia mezani ni ushamba flan hv mtazamo wangu lakn.
Hahahahha
Kubwa tunitaga MTULINGA bila glass haliendi haraka ila vile vidogo pafu mbili tuHa ha ha
Nenda Burundi, Kuna Primus.Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Watu wa machimbo: Mererani (enzi hizo), Chunya, (sina uzoefu na Usukumani)Nakubaliana na wewe kujaza bia nyingi mezani ni ushamba sana...Hii hufanywa na wanaume wengi wasiojiamin na wanaotaka showoff
Mkuu wengine tunapenda kuwaona wanatembea tembea ili unachagua mwenye takoYaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Pengine ataonekana mlevi wakati yeye ni mnywajiWhy usiagize zote tano ukakaa nazo Kwa meza?