Nashauri viwanda vya bia vianze kutengeneza bia chupa moja yenye ujazo wa bia mbili ili kuwapunguzia wahudumu nenda rudi...

Mhudumu yupo kwa ajili ya kumliwaza mlevi, Ile nenda Rudi huku anatingisha msambwanda ni businesses technical siyo bahati mbaya.

Nakumbuka katika VIWANJA ninavyovijua kwa Wezere Pana Ni pale Sinza De France , Hapa Karaokee Pembeni Kuna Mtoto Msambwanda wenyewe tu kilo 100.
 
Kuna walevi nawajua wao wakiwa na kasherehe...wana simtank ile ya 500lr.

Wanachofanya wanamiminia bia zote kama kriti 5 ndani...

Kisha wanaliweka kando li tank lao na glass kubwa kubwa.
 
Ila wengi mabia makubwa hawapendi ukizama baa asilimia kubwa vichupa vidogo vile michupa ya nusu lita inahitaji moyo ka we sio pampula...
Mpaka umalize safari kubwa au serengeti kubwa tatu wazee wa kijani washakamua bia 8
 
Ha ha ha
 
Hii ya tatu tatu inafanya kuwaonesha wanywaji wanatapanya Mali, pia inawasumbua wahudumu kutikisa chupa tupu ili waziondoe
Yah huwa najiepusha sana kujaza bia mezani.

Moja: ukifika na wenge la kujaza bia mezani mmekunywa badae mfuko unaelekea ukingoni unaanza agiza moja moja, hapo wahudumu wasoma ramani wanajua pale pakavu hawapiti piti tena unaanza kuwa mnyonge.

Mbili: uzuri wa kuagiza bia moja moja kwanza unaonekana una class flan hv, sio mtu wa pupa kwenye bata, ja muhudumu akusomi maana ni moja imesimama mezani muda wote ikitoka hii weka ingine, ndio style bora sana bar, kujaza mabia mezani ni ushamba flan hv mtazamo wangu lakn.

Hahahahha
 
Hahaha
 
Nakubaliana na wewe kujaza bia nyingi mezani ni ushamba sana...Hii hufanywa na wanaume wengi wasiojiamin na wanaotaka showoff
 
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Nenda Burundi, Kuna Primus.
 
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Mkuu wengine tunapenda kuwaona wanatembea tembea ili unachagua mwenye tako
 
Back
Top Bottom