FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Agiza tatu tatu mkuuYaani kama bia INA ujazo wa ml mia tano basi chupa moja Iwe na ml elfu moja ili kwa anayekunywa via mbili anaagiza chupa moja tu,au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano.hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi,pia mwaweza kunywa na marafiki
Hii ya tatu tatu inafanya kuwaonesha wanywaji wanatapanya Mali, pia inawasumbua wahudumu kutikisa chupa tupu ili waziondoeAgiza tatu tatu mkuu
Inakera kwa asiye na uwezo akiona chupa nyingi mezani ndiyo maana wahudumu huzitoa haraka zilizoisha bia pia inawapa usumbufu wahudumu wetuNi kuwa tu kama wasukuma unaagiza full package kumi kwa mkupuo
Ha ha haAgiza kreti ukae nalo zikibaki uza kwa hasara hapohapo
Mdomo umeshajaa mate!!Ni sawa tu
Tumekusikia mkuuYaani kama bia INA ujazo wa ml mia tano basi chupa moja Iwe na ml elfu moja ili kwa anayekunywa via mbili anaagiza chupa moja tu,au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano.hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi,pia mwaweza kunywa na marafiki
Nimepata hamu ghafla ya Desperado kwahuu Uzi dah😋Ni sawa tu