Nashauri viwanda vya bia vianze kutengeneza bia chupa moja yenye ujazo wa bia mbili ili kuwapunguzia wahudumu nenda rudi...

Shida sio bia kubwa tatizo ni kua tunataka kuangalia matako yao maana mfano kama safar kuna kubwa na ndogo kubwa 2000 ndogo 1700 lkn ya buku mbil atutaki tunataka ya 1700 ili tuone vyura
 
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
No ni bora kila meza kuwe na bomba inayotoa bia haraf pawe pamefugwa mita mtu akimalza kutumia anapewa bill
 
Ref: Amstel na Primus Hapo Burundi
 
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
south Africa,Burundi bia ni mil 750 .kuna miaka hapa Tz kulikuwa na Henken Kombola(750ml).
 
Duu mkuu nimecheka sana Leo. Duu sijui umefikiriaje ama wewe ni mhudumu ama unawahurumia wahudumu wanavyoteseka kila muda wanapita kutingisha
 
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Kwanza kabisa.
1. Huna akili
2. Beer ya lita moja itakua flat kabla mnywaji hajaimaliza.
3. Ile nenda rudi ya barmaid humfurahisha mnywaji kwa kuangalia na kupapasa tako la barmaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…