Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Atafutiwe kazi laini za kufanya zitakazompa riziki, labda akifungwa sana, afungwe miezi miwili, akitoka jela apewe kazi
Hii ni Manslaughter case na Attempted suicide, lakini kwa kesi hii daah, scenario inasikitisha sana, kwa watu tuliowahi pitia umaskini na kushinda njaa plus michongo yote kugoma, Ilhali unajibidiisha kutafuta, tunaelewa maumivu ya umaskini, kufeli na kukosa hela, bora wewe mwenyewe ushinde njaa, inauma sana kuona na watoto wako wakiteseka na njaa Tena mara nyingi..na huwezi wasaidia. Huyu mama hakudhamiria kuua wanae ila njaa ilimlazimisha.
Maadam mkuu wa mkoa wake analijua hilo , naamini hawatakosa Kazi ya kumpatia ya kumfanya apate riziki.
Hio story imenisikitisha sana.
Pia soma > Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu