Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waende inaumuhimu elimu ya chuo kilichochakaa cha udsm huwezi kupanga na elimu ya NDCItasaidiaje?
Mtu yupo ni senior lecturer UDSM na bado anaona majalala....anabeba madumu kwenye ndege kufuata dawa ya Corona Madagascar, majani ambayo yamejaa hapa tz.
Siamin sana ktk hizi elimu, PhD magufuli vs secretary Samia unaonaje?
Magufuli alikuwa na ujinga wa PhD
NDC ni nini? Au ni National Development Corporation? Kumbuka siyo kila mmoja atajua hivyo vifupisho vya majina! Unapotoa vifupisho jaribu kuweka Kirefu chake kwenye mabano!Kama wanavyopelekwa wakuu wa mikoa,wilaya na watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu
Hii inaweza kufanywa na hata kwa baraza la mawaziri
Wenye PhD bongo ni wajinga kuliko darasa la Saba, I think PhD inafifisha level ya ufikiriaji wa mamboItasaidiaje?
Mtu yupo ni senior lecturer UDSM na bado anaona majalala....anabeba madumu kwenye ndege kufuata dawa ya Corona Madagascar, majani ambayo yamejaa hapa tz.
Siamin sana ktk hizi elimu, PhD magufuli vs secretary Samia unaonaje?
Magufuli alikuwa na ujinga wa PhD
National Defense CollegeNDC ni nini? Au ni National Development Corporation? Kumbuka siyo kila mmoja atajua hivyo vifupisho vya majina! Unapotoa vifupisho jaribu kuweka Kirefu chake kwenye mabano!
Hamna anaweza kukuelewa humu kaka!Umeongea mambo magumu sana!Kujua umuhimu wa NDC lazima uwe wa level hizo!Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
National defence collegeNDC ni nini? Au ni National Development Corporation? Kumbuka siyo kila mmoja atajua hivyo vifupisho vya majina! Unapotoa vifupisho jaribu kuweka Kirefu chake kwenye mabano!
Muhimu sana maana kama mkuu wa wilaya anaenda short course mkuu wa mkoa basi na wakuu wao wapelekwe ili waweze kuongea lugha mojaHamna anaweza kukuelewa humu kaka!Umeongea mambo magumu sana!Kujua umuhimu wa NDC lazima uwe wa level hizo!
Hongera kwa ushauri huu!Ni muhimu sana!Maana tuna viongozi ambao hata ABC za Uongozi hawajui!
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Vipi mbona sijawahi kusikia admission za chuo hiki.....[emoji23]Muhimu sana maana kama mkuu wa wilaya anaenda short course mkuu wa mkoa basi na wakuu wao wapelekwe ili waweze kuongea lugha moja
Ndio inasaidia nini kwani viongozi wengi tu nawajua wanapita huko ila sio waadilifu, watu wamepelekwa hadi JKTKama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
Kwa mitazamo wangu Mimi JKT ni zaidi kimafunzo kulipo hapo NDCJAKATA sio NDC
Asante sanaNational defence college
NDC | Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania - Mwanzo
Chuo cha Taifa cha Ulinzi kilianzishwa mwaka 2011, NDC ndicho chuo kikuu cha mafunzo ya kimkakati na taasisi kuu ya mafunzo ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. | Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania - Mwanzowww.ndctz.go.tz
Asante sanaNational Defense College
Ni sawa lkn bora zaidi wangefanyiwa mdahalo ili kuwapima uwezo wao iwe ni sheriaKama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
Wewe umeshapitia hicho chuo? Unajua kinachofundishwa kule ndani? Acha kujihangaisha na vitu usivyovifahamu.Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.