Nashauri Wanajeshi mnapokuja kwenye biashara za kiraia msije kikundi na kuvaa magwanda

Ubabe wa kijinga ndo unafanya baadhi yao wanadundwa au kuchomwa visu mtaani...
 
Wale jamaa ukiwauzia kitu kizuri huwa wanaambiana wanakuja kundi kama wanafunzi kununua. Ila hakikisha unawauzia mali nzuri hivyo hivyo hata kama unawapiga bei kubwa.
Tena wasipokyja wengi atakuja mwingine anunue bidhaa hata zaidi ya mahitaji yake. Wako loyal ila usiwauzie mabomu. Na wengi hawajui bargain
 
Mkuu mwambie na ww unauziwa ndyo uje kuuza ww syo kiwanda wakuzalisha hzo spears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…