Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF.
Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii ni kitu cha kusikitisha sana.
Kwani kuna wachangiaji wengi wa masuala ya ndoa ambao hawajaoa au pengine hawana mafunzo yoyote ya ndoa yaliyo rasmi au pengine yale ambayo sio rasmi (uzoefu)
Ningependekeza: Masuala ya changamoto za ndoa yachangiwe zaidi na walioko kwenye Ndoa; wale serengeti boys & girls subirini wakati wao kwani wengi ni wapotoshaji.