Yaani kwa akili yako unalinganisha maisha ya ndoa na kucheza Mpira, au kucheza bao, au pengine karata; Hiyo michezo yooooote ni ya probability. Ndoa ni kitu chenye serious commitment sio kama mpira/bao nk; ukikua utanielewa.......Duh, Ni sawa na Kusema ambao hawajawai kucheza soka, Wasichambue kandanda na pia Marufuku kuwa Kocha ukiwa hujawai kulisukuma gozi...
Kina Morinyo tungewasikia kwenye Bomba
Nahisi unaweza kuwa ni mmoja ya Wale wanaotishaga watu kuhusu ndoa kwa Kauli kama 'ndoa ndoana' ndoa ni gereza la hiari n.k,...sababu tu umeoa/Umeolewa na Mlevi , Malaya n.k...! Ujue Wapo wengi wamepata wenza perfect kulingana na walivyokuwa Wanamuomba Mungu wao.Yaani kwa akili yako unalinganisha maisha ya ndoa na kucheza Mpira, au kucheza bao, au pengine karata; Hiyo michezo yooooote ni ya probability. Ndoa ni kitu chenye serious commitment sio kama mpira/bao nk; ukikua utanielewa.......
We umetombewa mke live umemfuma unaambiwa umsamehe na wewe unakubali tu ndio akili unayoitaka hio?Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF.
Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume.
Hii ni kitu cha kusikitisha sana.
Kwani kuna wachangiaji wengi wa masuala ya ndoa ambao hawajaoa au pengine hawana mafunzo yoyote ya ndoa yaliyo rasmi au pengine yale ambayo sio rasmi (uzoefu)
Ningependekeza: Masuala ya changamoto za ndoa yachangiwe zaidi na walioko kwenye Ndoa; wale serengeti boys & girls subirini wakati wao kwani wengi ni wapotoshaji.
Yaan we unahisi kufahamu umbea umbea wa maisha ya ndoa ya flani ndo kufahamu maisha ya ndoa?Kuna mengine sio lazima uwe kwenye ndoa ndio uyafahamu, mbona bodaboda wanafahamu ndoa za watu wengi lakini wao hawajaoa
Mh na wewe mzee kumbe hujaoa?!!!Naunga mkono hoja wale ambao Bado hatujaoa tuendelee kula tunda kimasihara
Wanandoa walikuwa wanakosana toka zamani na wanasameheana vizuri tu na ndo maana ulikuwa unakuta kijana wa mzee flani alizaliwa na mzee flani mume wa mtu mwingineπππ na wote ni wanandoa na kila mmoja yuko kwene ndoa yake adi wanazikana na mke sio kuzini tu! Adi kuzaa nje.......ndoa sio mahusiano ya boy&girlfriend ndugu kuwa utayaonaWe umetombewa mke live umemfuma unaambiwa umsamehe na wewe unakubali tu ndio akili unayoitaka hio?
Wachezaji wa akiba wasijaribiwe hata dakika 10?Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF.