Hoja zoote hapo zinaonesha hujaelewa mada inayo jadiliwa; ingekuwa ni mtihani yaani ulisha pata Zero; Pole!Muwe na jukwaa lenu kama hamtaki michango yetu.
Mkiwa na jukwaa lenu itatusaidia kujua wakaka wazuri wazuri walio single.
Tofauti na hapo msituchoshe maana hata padre hajaoa ila anafungisha ndoa.
Mkija hospital tunawatibu hata kama mko kwenye ndoa zenu
Mkija mahakamani tunatatua migogoro yenu ya ndoa.
Mkija kanisani tunawaombea wote.bila kujali ndoa zenu.
In short sisi ambao bado, hatukwepeki, some times bila sisi nyinyi mnapwaya.ππππ
Huo umbea ndio mwanzo wa kujenga au kubomoa ndoa, watu wa nje wanaweza kumjua mtu vizuri tofauti na wanaoishi nao ndani mana nje atajiona yuko huru tofauti na akiwa ndani.Yaan we unahisi kufahamu umbea umbea wa maisha ya ndoa ya flani ndo kufahamu maisha ya ndoa?
Kumjua mtu ndo kuijua ndoa? Navojua ndoa zenye misukosuko, hazifanani iyo misukosuko, ndoa zenye amani hazina formula moja yenye kuleta amani......ni kutumia akili na busara za kiutu uzima kuelewana humo ndaniHuo umbea ndio mwanzo wa kujenga au kubomoa ndoa, watu wa nje wanaweza kumjua mtu vizuri tofauti na wanaoishi nao ndani mana nje atajiona yuko huru tofauti na akiwa ndani.
Labda ingekuwa mtihani wa hesabu ila ile mitihani mingine inayotakaHoja zoote hapo zinaonesha hujaelewa mada inayo jadiliwa; ingekuwa ni mtihani yaani ulisha pata Zero; Pole!
kwa kuwa wengi wa Serengeti boys approximately 90% wamekosa sifa, hata hiyo 5 to 10% tumeona ipumzike kwa sasa. Huwa hakuna maamuzi duniani yanayoweza kufavor watu wote; hivyo wala usiumize Kichwa.Ata wajinga na wapumbavu nao wanao na kuolewa vile vile.
Kuna ambae hayupo kwenye ndoa ila ana busara na hekima za kumshauri aliekwenye ndoa kuliko unavyo fikiria.
Ndoa ni kama chakula simply ukiingia utajua tamu na chungu ukiwa nje huwezi jua chochote hiyo ndio fact.Kuna mengine sio lazima uwe kwenye ndoa ndio uyafahamu, mbona bodaboda wanafahamu ndoa za watu wengi lakini wao hawajaoa
Mkuu au naww.ndohao wanasemwaNdoa haizoeleki
Mkuu nipo na familyMkuu au naww.ndohao wanasemwa
Hongera Mtani.Mkuu nipo na family
Asante mtani vipi wewe?Hongera Mtani.
Mie sijambo Mtani.Asante mtani vipi wewe?
Hujaelewa, ile hongera ya mimi kuwa na family nataka niikutunuku nawewe kama uko pairMie sijambo Mtani.
Au sijaelewa swali? π€£π€£π€£
Ooh!! Basi lugha ilikuwa gongana.Hujaelewa, ile hongera ya mimi kuwa na family nataka niikutunuku nawewe kama uko pair
Mh sina hakika, maana umewaza cha kudanganyaOoh!! Basi lugha ilikuwa gongana.
Mie tayari pia Mtani mpaka nakaribia kujukuu sasa. Teh.
ππMh sina hakika, maana umewaza cha kudanganya