Nashauri wasio kwenye ndoa wasichangie mada za ndoa

Mbona padri anafungisha ndoa na hana ndoa?
 
Mapadree, wasifungishe ndoa wala kuhusika na mambo ya ndoa kwa muwa hawajuwi ndoa kwa kina.

Mlevi akzidiwa maji asaidiwe na wenzake coz ndiyo wanajuwa jinsi ya kumsaidia kwa kuwa wapo kwenye chama.

Walimu wasiokuwa na watoto wasifunsishe wanafunzi kwa kuwa hawana watoto na ualimu ni sehemu ya malezi na hawana uzoefu.


Michango ya harusi pia iwe inaombwa kwa waliooa tu kwa kuwa ndiyo wanajuwa uchungu wa ndoa.

Mahakimu wasiokuwa na wake waachane na kesi zinazohusiana na ndoa coz hawana uzoefu.

Polisi dawati la jinsia na ustawi wa jamii, kazi hizi zifanywe na walioko kwenye ndoa tu.

NIISHIE HAPA,,ENDELEA KUJITAFAKARI KAMA PENDEKEZO LAKO NI SAHIHI AU SIYO SAHIHI.
 
Kwa hiyo unamaanisha hata mume/mke kumpelekea matatizo yake ya ndoa padre/mchungaji asiye na mke kabisa haileti picha nzuri?
 
Kama hutaki tuchangie usilete mada zako uku peleka ustawi wa jamii wakushauri ila ukileta uku wembe ni uleule
 
Nazani inategemea zaidi uwezo wa kusababu(reasoning) na sio experience.Ndoa ilianzishwa na Mungu kwaiyo namna ya kuiendesha,kutendeana na mambo ya kuepuka yapo wazi kwenye maandiko matakatifu ambayo hata sisi uliotuita serengeti boys tunasoma.Mfano Yesu hakuwai kuwa ktk mahusiano ya kimapenz lakn ushaur wake unategemeka katika ndoa.
 
Kwani nikikwambia muache au usimuache, sio ushahuri ?

Unataka kusikia positive response tu

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ushauri wako ni sawa na kukuta mtu gari imepata pancha unamwambia toa tairi tupa kule ukanunue mpya
Bila hata kuangalia au kutaka kujua ubora wa hiyo tairi, upya wake, pancha ni kubwa kiasi gani na Je hiyo tairi inapata pancha mara kwa mara....
Kiukweli siungi mkono serengeti boys huku; wengi hawana maarifa wachukulia ndoa kama Yanga na Simba
 
Kama hutaki tuchangie usilete mada zako uku peleka ustawi wa jamii wakushauri ila ukileta uku wembe ni uleule
Kwa huu mchango wako inadhirisha jinsi usivyo na maarifa; sasa tutegemee nini kwenye mchango wako?
 
Ndoa hutemea zaidi, MATURITY, reasoning na experience (direct or indirect)
Serengeti boys, wameonesha udhaifu mkubwa kwenye reasoning ila naweza nisiwalaumu sana kwa kuwa sio matured
 
Haya mambo ukiyafatilia sana unaweza usijuhusishe nayo...
Namaanisha ambao hawataki kuoa au kuolewa, wanafatilia sana haya mambo ya ndoa, ndio maana, wakaona hawayawezi.

Hawa ni washauri wazuri. Wasikilizwe.

Ndio wanaowaokoa nyie waoaji dhidi ya uharamia mnaotendea wana ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…