Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Matatizo ya kiufundi wataenda kutoa ushahidi usio na shaka mahakamani na jinsi waliutaarifu wateja hilo tatizo la kiufundi.Kuna sheria na matatizo ya kiufundi, hapo kwenye matatizo ya kiufundi ndipo wanapo chukua point tatu. Hamna kesi hapo mkapumzike.

Kesi hamna hapo, zitatumika lugha za ki-engineer mtalainika wenyewe na picha litaishia hapo.matatizo ya kiufundi wataenda kutoa ushahidi usio na shaka mahakamani na jinsi waliutaarifu wateja hilo tatizo la kiufundi
Unahitaji kuwa na conreate evedence mkuu.Kichwa cha habari kinahusika,
Tupo hatua za mwanzo kabisa kuona jinsi tunavyoweza kuwashitaki wahusika waliozima mitandao ambapo ni takribani wiki sasa.
Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa.
Kwa yeyote anayetaka kujumuishwa kwenye hii kesi akaribie sana.
Bilioni 8 tutagawana wateja wote wa Tigo?Matatizo ya kiufundi wataenda kutoa ushahidi usio na shaka mahakamani na jinsi waliutaarifu wateja hilo tatizo la kiufundi.
Chadema inaingiaje hapaakili za kichadema hizi
Mbona WALITOA TAARIFA au hukuisikia... WALISEMA NI JAMBO LA MUDA MFUPI tu.Kichwa cha habari kinahusika,
Tupo hatua za mwanzo kabisa kuona jinsi tunavyoweza kuwashitaki wahusika waliozima mitandao ambapo ni takribani wiki sasa.
Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa.
Kwa yeyote anayetaka kujumuishwa kwenye hii kesi akaribie sana.
Ndo ujue akili za kiccm zinawawaza chadema tuChadema inaingiaje hapa
mliompigia kampeni lisu unaendeleaje hapo magogoniKichwa cha habari kinahusika,