Nashauriana na wanasheria wangu kufungua kesi ya kuzimwa kwa mtandao na kudai Tsh. Bilioni 8

Nashauriana na wanasheria wangu kufungua kesi ya kuzimwa kwa mtandao na kudai Tsh. Bilioni 8

Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa.
Unaijua bilioni 8,au akili yako ya kimasikini inatamani tu?
Ili uipate hiyo bilioni 8,ni lazima uionyeshe mahakama umeathirika vipi Kwa kuzimiwa Facebook ukapata hasara ya bilioni 8,onesha miamala yako ya Facebook,Twitter,Instagram na WhatsApp jinsi ilivyokwama,huku ukionesha pia jinsi ilivyokua ikikupatia hiyo bilioni 8 kabla hujafungiwa.
Onesha pia huwa unalipa sh ngapi Kwa mwezi kupata huduma hizo.
Laini na kifurushi chako cha chuo,kutwa upo jamii forum hiyo bilioni 8 atakupa Nani lofa wewe.
Mwisho kumbuka uliemburuza akikushinda ana Haki ya kukudai fidia.
Fanyeni kazi uchaguzi umeisha
 
Back
Top Bottom