Nashauriana na wanasheria wangu kufungua kesi ya kuzimwa kwa mtandao na kudai Tsh. Bilioni 8

NAJUMUIKAJE SASA MKUU.....?
 
Na mimi nimo ila itabidi kuwashitaki na tcra kwa kutochukua hatua halafu naona bilioni nane kama ni kiasi kidogo
 
Ni kweli kuwa kuna watu wamepata hasara sana kwa kipindi hiki cha offline. Na hasa wale wa online business/marketing.


YESU NI KRISTO
 
😅 Mkuu unatafuta kubambikiwa kesi ya uhaini, uhujumu uchumi, ugaidi na utakatishaji.

Nitangulize POLE zangu za dhati, tutakuona 2027 msamaha wa rais sherehe za mapinduzi.🤣

Everyday is Saturday................................😎
 
Kabla ya kuzimwa mtandao mapato yako kwa siku yaliyotokana na huduma za mtandao ni Tsh ngapi?
 
Matatizo ya kiufundi wataenda kutoa ushahidi usio na shaka mahakamani na jinsi waliutaarifu wateja hilo tatizo la kiufundi.
Right... Matatizo kuwa yanakuwa communicated, na ni kawaida ya kampuni za simu kutoa taarifa. Kwa shida hii wamekaa kimya kbs
 
Kuna sheria na matatizo ya kiufundi, hapo kwenye matatizo ya kiufundi ndipo wanapo chukua point tatu. Hamna kesi hapo mkapumzike.
Haijawahi kutokea tatizo la kiufundi kwa mitandao karibu yote tena wakati wa uchaguzi. Kama ingekuwa tatizo la kiufundi wangeomba radhi
 
Na uwe tayari kuielezea mahakama kwa details jinsi ulivyopoteza hiyo 8b kwa kutokana na mtandao kuzimwa.
Uweke wazi aina ya biashara inayokuzalishia hayo mabilioni
 

Shaurianeni mpaka Mchoke, hivi kama Kamanda wetu Mpendwa Mambosasa anasema yale mabag yalikuwa yana nguo, unawezaje Kuwa na malalamiko kwenye hii nchi dhidi ya serikali ukapeleka mahakamani?

Hapana unakuwa mpole tu unajitahidi kulea watoto tu!
 
umezidi njaa sana bwaa shee.....

umekuwa mtu wa kulia lia tu

Boya kabisa

Wote huo,ni uvivu wa kazi

mpuuzi sana
 
MTANDAO HAUJAZIMWA BAADHI YA WEB NDO ZILIZIMWA
 
Mnataka kushitaki kupitia mahakama hizi za tz au Kenya!!?
 
CHADEMA mmekosa aliki za kisiasa. Ndo tatizo la kuingia siasani bila shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…