Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

Acha hiyo hiyo injini ya 14B. Kama unapiga route ndefu za daladala mfano Temeke-Mbezi Mwisho via Malamba Mawili. Tafuta 14B-Turbo,12H-Turbo au 1HZ.

14B inatumia vizuri mafuta na spare zipo kibao. Kama unataka injini yenye maisha marefu na inastahimili shida zote chukua 1HZ.
 
Ushauri wangu kama ni trip town iache hyo 14b lakini kama ni ya masafa funga 1hd-t
Nb:1hd t zinasumbua sana kwenye turbo ivyo uwe unaipa huduma nzuri ya sevis
 
Ushauri wangu kama ni trip town iache hyo 14b lakini kama ni ya masafa funga 1hd-t
Nb:1hd t zinasumbua sana kwenye turbo ivyo uwe unaipa huduma nzuri ya sevis

1HD-T bei yake ipo juu sana hata kama ni used. Na akipata iliyotumika sana hapa nchini kabla ya kuingia barabarani afanye engine overhaul ili asije akawa anashinda garage.

Pia ni matumizi mabovu ya pesa kutoa karibu 9million ya Kununua 1hdt ili ufunge kwenye coaster boksi body.
 
1HZ engine ni kubwa kuliko 14B (4.2 L) na ni ya karibuni,14B engine ina 3.7 L.Halafu hii ya 1HZ ni kwa ajili ya Prado L/Cruiser na Coaster aliyekushauri anataka gari yako iwe na more power.
1hz ni kwa ajili ya prado hapana ndugu no research no right to speak fanya tena utafiti!
 
Back
Top Bottom