Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Ushauri wangu kama ni trip town iache hyo 14b lakini kama ni ya masafa funga 1hd-t
Nb:1hd t zinasumbua sana kwenye turbo ivyo uwe unaipa huduma nzuri ya sevis
1hz ni kwa ajili ya prado hapana ndugu no research no right to speak fanya tena utafiti!1HZ engine ni kubwa kuliko 14B (4.2 L) na ni ya karibuni,14B engine ina 3.7 L.Halafu hii ya 1HZ ni kwa ajili ya Prado L/Cruiser na Coaster aliyekushauri anataka gari yako iwe na more power.
Actually nilitaka kuandika"Toyota L/Cruiser na Coaster"1hz ni kwa ajili ya prado hapana ndugu no research no right to speak fanya tena utafiti!
Rosa ndo habari ya mjiniWadau vp kuhusu hizi Nissan Civilian kwa biashara ya daladala naona watu wanazichukua sana.