Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May 27.

Wataalamu wa sekta, Nashera imekumbwa na nini au ameamua kuuza akaangalie usawa mwingine?

Pia, soma=> Hali ikiendelea hivi, Nashera hotel nayo itafungwa!

 
Serikali ilinunue kwa ajili ya kazi maalumu za kiserikali. Raha jipe mwenyewe sio mijemgo mizuri watumishi waishie kuona ni kwa ajili ya wawekezaji.

WAPI LILE SHIRIKA LA UMMA LINALO KUWA NA MIRADI YA MAJENGO?
 
Baada ya Lowassa kufariki naona Fred na wadogo zake wameamua kuiuza ili wagawane mpunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…