DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Haiclik kichwani kabisa kuna ushahidi wa kimazingira unakufunga[emoji23][emoji23][emoji23] ckua na ratiba ya kwenda home, ila shule nlidanganya narud home, na home hawakua wanajua chochote, maana likizo ndogo, nlikua sirudi home nabaki shule.