Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Eneo la Magereza??nikajua la wizara ya utalii na Mali Asili,kulikua na mabwawa ya samaki na shamba la michungwa
Mi nilisikiaga enzi zile mzee wetu alipora ingawa mpaka leo nadhani mgogoro upo na inawezekana wamenusa mwenge eneo analitaka wauze ili wakimbie mgogoro
 
Way back mzumbe university, nilikua ambassador wa hiyo hotel. Nashera. Imenilipia ada aisee. Hustle ni balaa. Asante morogoro.
 
Hotel inauzwa na contact imewekwa ‘Wilbur Colom’.

Ukienda Google search na kuandika ‘Wilbur Colom’ itakueleza jamaa ni successful black American lawyer ambae sasa hivi amejikita kwenye philanthropy.

Uki google ‘Wilbur Colon’ Tanzania 👇unapata habari zake za Tanzania


Huyo mmarekani Tanzania amewekeza kwenye hotel kadhaa hiyo ‘Nashera Hotel’ ni moja wapo.


Better still google inakueleza ana kampuni iliyosajiliwa Tanzania kwa jina C-Terra anamiliki hotel zingine Zanzibar na Dodoma kwa sasa; shughuli zake zingine Tanzania ni hedge fund ya mitaji.

Sasa hoteli sijui ya Lowassa au JK, seriously it so sad kuona watu ambao ata wakipewa info za kupata details zaidi you can’t change their mind (such gullible people).

Very sad
 
Serikali ilinunue kwa ajili ya kazi maalumu za kiserikali. Raha jipe mwenyewe sio mijemgo mizuri watumishi waishie kuona ni kwa ajili ya wawekezaji.

WAPI LILE SHIRIKA LA UMMA LINALO KUWA NA MIRADI YA MAJENGO?
Waswahili wanapenda kwenye fujo na kelele kule nashera ukisikia kelele ni ndege wanaimba
 
Tajiri wake JOHN KIDA yupo vibaya kifedha. Anko magu alimbana sana. Jamaa kapoteana. Hotel kibao kashaziuza
Magufuli alikuwa na msemo wake, wakati wake sio wakubembelezana ni wakati wa kufanya kazi. Mkitaka kubembelezana msubiri atoke.

Kwa maombi ya mafisadi katoka tumerudi kubembelezana na kujazana ujinga; ndio dunia ya watanzania halafu tunataka kujifananisha sijui na Singapore tulikuwa nao sawa wakati tunapata uhuru.

Huko Singapore awakufika walipo kwa kuwa na watu wengi walio wapumbavu kama wewe, wakujitungia watu wanaomiliki mali ambazo zisizo zao,

Yaani hata pale unapoelezwa nani anauza uwezi jisumbua kutafuta facts Ila upo tayari kuandika ujinga wako.

Swali la kujiuliza hapo kwa mtu timamu ilikuwa huyo ‘Wilbur Colom’ contact wa mauzo aliekwa ni nani.

Huyu ‘Wilbur Colom’ ni mwenye mali au administer alietuliwa kwenye winding up of the business kama wana madeni; upate kumjua na kuelewa sababu za hotel kuuzwa.

Watu mnapewa info zote but you still manage to come up with nonsense eti ‘John Kida’ mmiliki’ how stupid are you.

Dah, ndio aina ya wapuuzi mnaomtukana Magufuli. Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom