Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
aisee kumbe ulianza zaman hii michezo...libaba likakufungia hapo linakupakua kisamvu tu🤔
 
Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
Comment yako imehamisha mjadala wote umeelekezwa kwako siyo Nasera tena🤣
 
Serikali ilinunue kwa ajili ya kazi maalumu za kiserikali. Raha jipe mwenyewe sio mijemgo mizuri watumishi waishie kuona ni kwa ajili ya wawekezaji.

WAPI LILE SHIRIKA LA UMMA LINALO KUWA NA MIRADI YA MAJENGO?
strategy za bishara kwani kuna mahotel mangapi yanatumia hizi strategy na kubadili majina nk. ..?
 
Back
Top Bottom