Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
Nimesikia wivu kijinga kweli!
 
Kesema kwamba ipo kando na Mji hapana, kwamba imepungua wateja hapana,, siku nyingi nilikuwa napita hapo na ukuta magari ya kifahari kibao yamepark...
Nadhan Kuna jambo nje ya box
 
Kesema kwamba ipo kando na Mji hapana, kwamba imepungua wateja hapana,, siku nyingi nilikuwa napita hapo na ukuta magari ya kifahari kibao yamepark...
Nadhan Kuna jambo nje ya box
Hapana mkuu ni wateja, hizo gari ni wale wanaonda kwa ajili ya semina au vikao tu, kwenye malazi wako juu sana na vinywaji hii inawapunguzia wateja wa aina nyingine nje ya wale awanaokuja kwa ajili ya vikao. Chumba cha morena hotel cha elfu 90 ni kizuri kuliko cha nashera cha sh.250,000, the same to morogoro hotel,.hawa wamejiashahu kwenye baishara ya ushindandani,na ukizingati msamvu pale panapanda gorofa za hotel kila siku,hizi nashera watja labda wazungu sio mbongo aache kwenda kulala Ph executive,aika,au sweet africa hotel hotel kwa buku 80 akalaebchumba cha 250,000 tena chenye vitu vya zamana,
 
Back
Top Bottom