Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

ericjames574

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
44
Reaction score
32
Jamani mwenzenu ni mwathirika na mapenzi kinyume na maumbile na sasa natamani kuiacha lakini nashindwa. Nakumbuka mara ya kwanza nilikutana na dada mmoja nilikutana na dada huyu bandari ya Mwanza akishuka katika meli ya MV Clerias kutoka UK.

Kama ilivyo ada katika maongezi yetu hapa na pale akanipa fully story ya yeye kupigwa chini huko jimboni na kwa sababu hiyo hata kwao nao hawamtaki kumuona na alikuwa anakuja Mwanza kwa rafiki yake kuja kuyaanza maisha mapya akaniomba kama niko single nimuokoe kwani hana uhakika na rafiki yake nikaona powa.

Tukaanza maisha nikiwa katika kufanya mapenzi siku 1 akaniambia leo nataka nikupe zawadi, sikujua ni zawadi gani! Nikiwa nasubiri nijue zawadi gani nikashangaa 'PANGA' langu linashikwa na kuelekezwa kwenye tigo ni kwa kweli nilisikia raha na joto la hali ya juu na mbanano ambao sijawahi kuupata.

Toka siku hiyo mambo yakawa hivyo hivyo kwa kwenda mbele sasa huyu dada amesafiri na mimi nataka nitumie muda huu niache huu mchezo, lakini kila nikijitahidi nashindwa jamani na mbaya zaidi kila nkichukua demu mambo ni yaleyale yaani anakuwa mshabiki wa tigo na inaniwiya vigumu sana ni wasichana zaidi ya sita sasa wote wafuasi wa tigo nikipiga cha kwanza nikiomba tena naambiwa nihamie tigo na kosa nikihamia tigo huyo msichana ananiganda sasa bandugu nifanyeje?

NAOMBA KUWASILISHA.

SAME CASES
===

MAONI YALIYOTOLEWA
---
 
We ubongo ushakua addicted cha kufanya achakufikiria ngono, Tafuta shuhuli itayo ku keep busy ur self
Delete fikra za ngono na wasichana.

Anza program ya mazoezi mfano kukimbia au kuhudhuria jogging miezi 3 au 4 ubongo utakua usharudi katika hali yake.

Na utachukia sana hivyo vitendo.
 
dawa ni kumrudia tu Mungu wako hakuna kitakachoshindikana kwake
 
huku upunguf wa nguvu za kiume, huku tena mambo ya kinyume na maumbile daahh hii nomaa. Jitahid umrudie Muumba tu asee.
 
Pole sana....Hata hivyo Hakuna lisilowezekana.
Ninachokiona kwako ni kujiendekeza tu.

Kujua tatizo linalokukabili ni nusu ya kulitatua....Hujachelewa amua sasa na utubu kwa mola wako.
 
ericjames574,
Nakuhakikishia watoto/ kizazi chako kitapitia hali hii ndivyo ilivyo!
Wa kike watageuzwa au kusagana, wa kiume watakua mashoga!

Unless u repeant!.tena utubu kwa kumaanisha, omba rehema kwa ajili yako na kizazi chako ndipo utaokolewa!

.unashindwa kuacha kwa sababu hiyo mi Roho kamili inayotenda kazi bila kumrudia Mungu huwezi kuacha!

Accept Jesus christ!
 
Najua hali unayopitia, mimi nimepitia hali hiyo baada ya kufundishwa na dada mmoja hivi, nilikuwa najilaumu sana kila nikifanya na kuahidi sinto rudia, lakini nikikutana naye ujasiri wa kukataa unakuwa haupo.

Lakini sasa hivi nimefanikiwa kuacha baada ya siku hiyo kuona mavi na kuhisi nanuka mwili mzima. nilihisi hali hiyo wiki nzima. Sijarudia tena na nilimwambia ukweli. Ni miezi sita sasa imepita na sitamani tena.
 
Hello guys
Nimekuwa na tabia ambayo kwa kweli its not normal, coz tangu nimeanza kubalehe binti wa kwanza kufanya nae ngono alikuwa bikra (sealed kwa mbele), so nikaamua kutumia mlango wa uani kufanya nae mapenzi.

Sasa tangia hapo yani kila mwanamke ninaelala nae lazima nimuombe tigo indirectly, kwenye foreplay nashika makalio na kumtia binti vidole vya nyuma, wengine wanakataa wengine wanakubali.

Nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa na malaini ndo nadata kabisa. Note (Im 100% straight guy, nawala wanawake tu) sasa hii tabia cjui itaisha lini?

Kama jamani kuna waliokwisha kumbana na hii hali humu, hlf wakaiacha naombeni tips, coz hii tabia haitanipeleka mahali pema. Though its hard to get rid of this addiction but naombeni mbinu za kuiacha.
 
okoyoko,
Kweli endelea kutafuta msaada hadi uache, kila kitu ukinuia kutoka moyoni kuacha inawezekana. Usikate tamaa.. Endelea kutafuta hizo tips za kuacha na uzifuate.
Ngoja waje wenye nazo[emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…