Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez kupata wanawake 6 wote wanachama wa tigo labda km unalala na malaya tupu.. mm mwenywe mechi zangu zote zaid ya 50+ niliambiwa mambo ya tigo na wanawake wawili tu....acha kulala na malaya tafuta wanawake wa kueleweka ndo utaacha huo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ugonjwa wa kisasa wao wa dada ndio wanatufanya tuupende
 
Tafuta ndizi mbichi ichome kwenye moto iwe imebabuka halafu mpe huyo uliemuanza kumfanya huo mchezo akuingize mkunduni huku ukinuia kuacha huo mchezo kwa muda wa wiki moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A Prayer for Daily Repentance
Dear Lord, thank you for your forgiveness. Thank you for not abandoning us to our mistakes, but for reaching out instead to bring us home. Help convict me of sin and help me accept your mercy without shame. Thank you for the love you have poured out for me and all of your children. Help me live out of that love today. In Jesus' Name, Amen.
Matthew 4:17

Kutubia kwa Allah kutokana na madhambi yote

Fahamu kutaka toba ni amri ya Allah kwa waja wake walio dhaifu na wasioepuka kufanya dhambi. Allah amewaraghibisha waja wake kufanya toba kutokana na madhambi wayafanyayo na akawaahidi kuwapokelea toba yao. Akasema Allah Mola Mwenyezi:

“...NA NYOTE TUBIENI KWA ALLAH, ENYI WAUMINI ILI MPATE KUFAULU”. [24:31]

Akasema tena:

“ENYI MLIOAMINI! TUBUNI KWA ALLAH TOBA ILIYO YA KWELI, HUENDA MOLA WENU AKAKUFUTIENI MAOVU YENU NA KUKUINGIZENI KATIKA PEPO ZIPITAZO MITO MBELE YAKE...” [66:8]

Akasema tena:

“...HAKIKA ALLAH HUWAPENDA WANAOTUBU NA HUWAPENDA WANAOJITAKASA” [2:222]

Akaongeza kusema:

“LAKINI MWENYE KUTUBIA BAADA YA DHULMA YAKE NA AKATENDA WEMA, BASI ALLAH ATAPOKEA TOBA YAKE. HAKIKA ALLAH NI MWINGI WA KUSAMEHE (na) MWINGI WA KUREHEMU” [5:39]

Akazidi kusema:

“NAYE NDIYE ANAYEPOKEA TOBA ZA WAJA WAKE NA ANASAMEHE MAKOSA NA ANAYAJUA YOTE MNAYOYATENDA” [42:25]

Naye Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-anasema kuhusiana na suala zima la toba, tumsikilize:

“Mwenye kutubia kutokana na dhambi aliyoifanya ni kama mtu asiye na dhambi”. Ibn Maajah, Twabaraaniy & Al-Baihaqiy-Allah awarehemu.

Bwana Mtume akazidi kutuambia:

“Hakika Allah huukunjua mkono wake wakati wa mchana ili apate kutubia mkosa wa usiku. Na huukunjua mkono wake wakati wa usiku ili apate kutubia mkosa wa mchana (hufanya hivyo) mpaka litakapochomoza jua kutokea machweo (mazamio) yake”.Muslim-Allah amrehemu

Na akasema tena Bwana Mtume:

“Enyi watu! Tubieni kwa Mola wenu kabla hamjafa na harakieni kufanya amali njema kabla hamjashughulishwa. Na yaungeni mawasiliano yenu na Mola wenu kwa kukithirisha kumkumbuka kwenu”. Ibn Maajah-Allah amrehemu.
"Sasa we endelea kufukua nnya"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]


nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 

Kumuingilia Mkeo au Mpenzi wako kinyume na Maumbile hakuleti kwako wewe mfanyaji heshima kwa mkeo au mpenzi wako bali kunaleta wewe kwako mfanyaji dharau kwa mkeo au mpenzi wako. Ukiwa unapenda kumuingilia mkeo au mpenzi wako kwa kinyume na maumbile basi hata siku akikusaliti mkeo na yule atakae mpelekea atampa hiyo tigo uliye anzisha wewe kazi yake .Kwa hiyo usifanye kabisa kitendo hicho.

MADHARA SABA KWA MWANAMKE AKIINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE


1.Mwenyeezi Mungu humchukia sana mtu huyo (Mfanyaji Mwanamme na Mfanywaji mwanamke)


2.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribukumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.


3.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la sphincter' kulegea na kusababisha ambane mtoto.


4. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.


5. Inaweza kusababisha Saratani ya eneo hilo cancer of colon'.


6. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.


7. Hasara yake kubwa Mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

8. Kumuingilia Mke au Mpenzi wako kwa njia ya Tigo kunaweza wewe Mwanamme ukapatwa na ugonjwa Kiharusi aka (Stroke).Kupooza Kwa mkono na mguu wako upande mmoja wa kushoto na kwa wakati mmoja na ukipatwa na huo ugonjwa wa Kiharusi aka (Stroke) sio rahisi kupona utakufa mwisho wa huo ugonjwa.
 
Wengi huwa wamesahau au hawajui kuhusu hili.[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]


nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
ericjames574,
One of the most important thing you people should understand is that you are supposed to advise your friend to help him get out of that addiction.

One thing is, you should not keep blaming him for what he has done. It is already done and no other way it can be undone.

If you keep blaming him you are trying to make him despair and see as if he has no way out to be as normal again and there for he has no alternative to help him rid of that behavior.

Do not do that as you will not help him rather letting the probability of him give up on getting solutions and therefore continuing with the behavior.

SULUHISHO

Cha kwanza kabisa weka nia thabiti ya kuachana na hiyo tabia au hayo mazoea.

Cha pili, ili iwe rahisi kuweka msisitizo kwenye dhamira yako itakubidi uwe mbali na "wanawake" kwa muda wa mwezi au hata zaidi. Hii ina maana gani? Itakusaidia ktk kipindi hicho uwe umeishaweka misimamo yako juu ya namna ya ufanyaji wako ambao utanuia uwe ni normal tu na si vinginevyo.

Sasa sambamba na hilo itakubidi uepuke styles zingne za ufanyaji wa sex maana zinaweza kukutamanisha tena ukarudia tabia yako ya awali.

Tatu, Hakikisha kwenye simu yako kama kuna mabaki ya picha za utupu futa kabisa, magroup ya whatsapp yenye maudhui ya...... Unafuta yote, yaani concept hapa ni kwamba hakikisha unakuwa clean na kujieeka mbali na vitu vinavyoweza kukushawishi ukarudia tabia ile.

Mwisho, tubu dhambi zako either Msikitini au Kanisani na hakikisha una fanya ibada na sala ili Mungu akusaidie katika kuacha tabia hiyo mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu naomba uhusiano wa lile tendo na kiharusi.

Na je kuna aina zingine za ngono zinaweza kusababisha kiharusi? Mfano oral sex, handjob au blowjob?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…