Jamani mwenzenu ni mwathirika na mapenzi kinyume na maumbile na sasa natamani kuiacha lakini nashindwa. Nakumbuka mara ya kwanza nilikutana na dada mmoja nilikutana na dada huyu bandari ya Mwanza akishuka katika meli ya MV Clerias kutoka UK.
Kama ilivyo ada katika maongezi yetu hapa na pale akanipa fully story ya yeye kupigwa chini huko jimboni na kwasababu hiyo hata kwao nao hawamtaki kumuona na alikuwa anakuja Mwanza kwa rafiki yake kuja kuyaanza maisha mapya akaniomba kama niko single nimuokoe kwani hana uhakika na rafiki yake nikaona powa.
Tukaanza maisha nikiwa katika kufanya mapenzi siku 1 akaniambia leo nataka nikupe zawadi, sikujua ni zawadi gani! Nikiwa nasubiri nijue zawadi gani nikashangaa 'PANGA' langu linashikwa na kuelekezwa kwenye tigo ni kwa kweli nilisikia raha na joto la hali ya juu na mbanano ambao sijawahi kuupata.
Toka siku hiyo mambo yakawa hivyo hivyo kwa kwenda mbele sasa huyu dada amesafiri na mimi nataka nitumie muda huu niache huu mchezo, lakini kila nikijitahidi nashindwa jamani na mbaya zaidi kila nkichukua demu mambo ni yale yale yaani anakuwa mshabiki wa tigo na inaniwiya vigumu sana ni wasichana zaidi ya sita sasa wote wafuasi wa tigo nikipiga cha kwanza nikiomba tena naambiwa nihamie tigo na kosa nikihamia tigo huyo msichana ananiganda sasa bandugu nifanyeje?
NAOMBA KUWASILISHA.
Kumuingilia Mkeo au Mpenzi wako kinyume na Maumbile hakuleti kwako wewe mfanyaji heshima kwa mkeo au mpenzi wako bali kunaleta wewe kwako mfanyaji dharau kwa mkeo au mpenzi wako. Ukiwa unapenda kumuingilia mkeo au mpenzi wako kwa kinyume na maumbile basi hata siku akikusaliti mkeo na yule atakae mpelekea atampa hiyo tigo uliye anzisha wewe kazi yake .Kwa hiyo usifanye kabisa kitendo hicho.
MADHARA SABA KWA MWANAMKE AKIINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE
1.Mwenyeezi Mungu humchukia sana mtu huyo (Mfanyaji Mwanamme na Mfanywaji mwanamke)
2.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribukumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
3.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la sphincter' kulegea na kusababisha ambane mtoto.
4. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
5. Inaweza kusababisha Saratani ya eneo hilo cancer of colon'.
6. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
7. Hasara yake kubwa Mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
8. Kumuingilia Mke au Mpenzi wako kwa njia ya Tigo kunaweza wewe Mwanamme ukapatwa na ugonjwa Kiharusi aka (Stroke).Kupooza Kwa mkono na mguu wako upande mmoja wa kushoto na kwa wakati mmoja na ukipatwa na huo ugonjwa wa Kiharusi aka (Stroke) sio rahisi kupona utakufa mwisho wa huo ugonjwa.