nimeoteahapo kwa red-> ulijuaje? au ni wewe ndo umemtosa babygood wa watu
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?
kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!
kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!