Nashindwa kuamua jamanii!

Nashindwa kuamua jamanii!

Too bad...ameshakusaidia kuamua tayari!
 
umetupa mawili 1.. anaogopa maisha.. 2.. kapata mwingine,, Fanyia kazi hayo..
 
Mmmm mapenzi haya, tumia akili kuliko hisia. Vinginevyo unaweza ukaumia mpaka ukageuka rangi. Usijalaumu, ilikuwa shule yako hiyo, Mshukuru Mungu muombe msamaha, mkabidhi maisha yako. Wakati ukifika atakupa mume mwema.
 
kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!
 
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu mwingine? lakini mimi bado nampenda na sielewi kama ananipenda au isu ni maisha anayaogopa? naomba ushauri niendelee na maamuzi mengine au vipi?

Nimekumbuka ile thread iliyokuwa inasema 'mwanaume akishammega dem mapenzi yanapungua wakati ndo kwa mwanamke yanaanza'
Uliisomaga?
 
kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!

Mfanyie missing test...
 
Mpotezee tu, achana nae cheki ustaarabu wako, atakuja ambaye atakuwa perfect kwako,
kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!
 
Back
Top Bottom