Nashindwa kucheki majibu yangu ya tcu kwenye simu

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Jamani naomba mnisaidie jinsi gani naweza kuangalia profile yangu kwa kutumia simu,mnisaidie jinsi ya kufanya!
 
Jamani naomba mnisaidie jinsi gani naweza kuangalia profile yangu kwa kutumia simu,mnisaidie jinsi ya kufanya!

Unatumia simu gani? Kama mchina sahau!
Nenda kwenye browser ya simu, kwa simu ndogo ambazo si smart phones bofya home page, kwa smart phones mara baada ya kufungua browser andika http://cas.tcu.co.tz/ kisha ikifunguka ingiza details zako kisha bofya login
 
google "CAS login" chukua link ya kwanza ingza namba ya mtihan na password kisha login nenda kwenye profile then view my selection status kwisha kazi.......
 
jaman,mm mwenyewe imekuwa ngumu ku log in kwa kutumia cmu yang(nokia lumia),lakn pia mkuu website umeikosea kidogo, http://cas.tcu.go.tz
 
jaman,mm mwenyewe imekuwa ngumu ku log in kwa kutumia cmu yang(nokia lumia),lakn pia mkuu website umeikosea kidogo, http://cas.tcu.go.tz

Kuwa mkweli mdau usaidiwe,hiyo Lumia umeanza tumia lini maana akina siye hiyo simu ni kama unatumia min laptop. Sema ni simu gani upate msaada,na kwakuongezea nenda jukwaa la technology pale msaada ni %
 
Mbona unasema umeshindwa kuangalia majibu,kwan majibu yametoka?
 
Kuwa mkweli mdau usaidiwe,hiyo Lumia umeanza tumia lini maana akina siye hiyo simu ni kama unatumia min laptop. Sema ni simu gani upate msaada,na kwakuongezea nenda jukwaa la technology pale msaada ni %

cha kushangaza nn mkuu,natumia lumia 620,nashangaa sana kwa kuniletea meseji hii "we're having trouble connecting to this webpage.
you may have lost your mobile data connection.
try the following:
>Check your WiFi and mobile settings.
>If available,connect to a WiFi network"

chakushangaza nikifungua website zingine zinafunguka tena kwa haraka bt kwa "cas" imeshindikana kabsa,xa cjui tatzo ni web ipo jammed ol vp!
 
jaman,mm mwenyewe imekuwa ngumu ku log in kwa kutumia cmu yang(nokia lumia),lakn pia mkuu website umeikosea kidogo, http://cas.tcu.go.tz
Tumeshajua kama unatumia nokia lumia
 
Mi mwenyewe mbona na Nokia yangu ya tochi nimefungua na MAJIBU nimeyaona,mtoa mada ni PM nikuangalizie majibu yako
 
Mbona philips yangu inafungua vizuri sana labda ya kwako bado iko kwenye cheking progress.
 
Ingia jukwaa la technology muone C.T.U,KIMOX na utakao wakuta huko natumaini utapata msaada zaidi pole mjumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…