Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naomba mnisaidie jinsi gani naweza kuangalia profile yangu kwa kutumia simu,mnisaidie jinsi ya kufanya!
Unatumia simu gani? Kama mchina sahau!
Nenda kwenye browser ya simu, kwa simu ndogo ambazo si smart phones bofya home page, kwa smart phones mara baada ya kufungua browser andika http://cas.tcu.co.tz/ kisha ikifunguka ingiza details zako kisha bofya login
jaman,mm mwenyewe imekuwa ngumu ku log in kwa kutumia cmu yang(nokia lumia),lakn pia mkuu website umeikosea kidogo, http://cas.tcu.go.tz
Kuwa mkweli mdau usaidiwe,hiyo Lumia umeanza tumia lini maana akina siye hiyo simu ni kama unatumia min laptop. Sema ni simu gani upate msaada,na kwakuongezea nenda jukwaa la technology pale msaada ni %
Tumeshajua kama unatumia nokia lumiajaman,mm mwenyewe imekuwa ngumu ku log in kwa kutumia cmu yang(nokia lumia),lakn pia mkuu website umeikosea kidogo, http://cas.tcu.go.tz
Mi mwenyewe mbona na Nokia yangu ya tochi nimefungua na MAJIBU nimeyaona,mtoa mada ni PM nikuangalizie majibu yako
mheshimiwa,nimekuwa nikiomba msaada na kutaka kujua may b profl langu ndo lina tatizo,usinichukulie vibaya mkuu!Tumeshajua kama unatumia nokia lumia
cha kushangaza nn mkuu,natumia lumia 620,nashangaa sana kwa kuniletea meseji hii "we're having trouble connecting to this webpage.
you may have lost your mobile data connection.
try the following:
>Check your WiFi and mobile settings.
>If available,connect to a WiFi network"
chakushangaza nikifungua website zingine zinafunguka tena kwa haraka bt kwa "cas" imeshindikana kabsa,xa cjui tatzo ni web ipo jammed ol vp!
ahsante xana mkuu,ngoja nikaonane na hawa watu! wth regardzIngia jukwaa la technology muone C.T.U,KIMOX na utakao wakuta huko natumaini utapata msaada zaidi pole mjumbe.