kwa kweli sielewi kabisa!
Mtu umeshamtongoza,KAKUBALI.mnaongozana hadi hoteli,au geto ''kupiga mambo yetu yale'',lakini cha ajabu sasa,mnapotaka kuanza ''kupiga mambo yetu yale LAZIMA UTUMIE NGUVU TENA''!
.........sasa sielewi tatizo huwa nin,na imeshatokea kwa wanawake zaidi ya wawili sasa!hebu wazoefu nipeni somo hapa
Kwa namna ulivyoiweka, wewe ni mbakaji!!!! kwani hutumia nguvu kupata tunda..... Tafuta vitabu usome umuhimu wa proper preparations [foreplay] before sex]
Mkuu Geoff kwani wewe ukifika ndani ndo waanza kutwanga moja kwa moja au unabembeleza kwanza? hawa wenzetu huwa wanapenda kubembelezwa kila wakati hata kama mmekubaliana nini cha kufanya. isitoshe wengine wana aibu naturally..unless uwe umezoea wale wa Jolly Club?
Kwa namna ulivyoiweka, wewe ni mbakaji!!!! kwani hutumia nguvu kupata tunda..... Tafuta vitabu usome umuhimu wa proper preparations [foreplay] before sex]
Hawezi kufanya hivyo... kwa mujibu wa maelezo yake, huyu ana matatizo ya kisaikolojia, anahitaji msaada wa wataalamu katika eneo hilo, ushauri nasaha wala hautamsaidia chochoteMzee mleta mada,we ukifika tumia walau dakika 15 kumuandaa huyo mwezio...
NIMEMBAKA VIPI wakati ye mwenyewe kakubali bwana?
uzinzi mtaacha lini?
Amri ya sita: Usizini - The Holy Bible
NIMEMBAKA VIPI wakati ye mwenyewe kakubali bwana?
Haa haa haaa, maybe alichokubali ni kukusindikiza tu hadi geto, na sio pamoja na hayo mengine πGeoff, hata kama amekubali kuingia na wewe ndani haina maana ndiyo amejikabidhi kwako 100%;
Vp shem, ina maana huwa unataka kupress ile button nyingine iliyo kinyume na maumbile? π...Nijuavyo mimi, huwa wako very cooperative if you press the right button!
Haa haa haaa, maybe alichokubali ni kukusindikiza tu hadi geto, na sio pamoja na hayo mengine π
[/COLOR]Vp shem, ina maana huwa unataka kupress ile button nyingine iliyo kinyume na maumbile? [/COLOR]π
hahaha!mkuu sio wa jolly
inawezekana uko sahihi kwamba SIJUI KUBEMBELEZA
Geoff, hata kama amekubali kuingia na wewe ndani haina maana ndiyo amejikabidhi kwako 100%; remember huyo dada anakuwa na rights zake kwa muda wote ambao mtakuwa pamoja hata kama mko katikati ya tendo bado anaweza kusuggest chochote kile ilimradi kiko ndani ya uwezo wenu... sometimes anaweza hata kukataa kuendelea na ikiwa hivyo inabidi uache kuendelea na tendo. ni vigumu ikitokea lakini ndi haki zake... nina imani hata wewe sometimes unaweza kuchukua demu halafu ukaamua kutofanya, au ukaishia katikati... all those are rights and they are equal kwako na kwake!!!
Nijuavyo mimi, huwa wako very cooperative if you press the right button![/QUOTE]
basi mimi nina mkosi!
haiwezekani kwamba demu yoyote,nikitaka kupiga mashine,my first TOUCH TO HER SHE MUST BE RELUCTANT!that iz my point guys